Mahali Pazuri Pa Kufanyia Mapenzi.

Watu wengi hufikiri kuwa kufanya sex ni chumbani tu, hawaelewi kuwa kubaki chumbani kila siku kunachoshwa na kukufanya ukose hamasa ya tendo hilo.Maana yake ni ili kuleta ukaribu zaidi na kufanya mapenzi yawe ni mapya kila siku. Jifinze mabadiliko yatakusaidia kuleta nguvu ya mahisiano.

Kubadili mwelekeo au sehemu ya kutoka chumbani kwako au ndani ya nyumba yako uonaondoa stress zilizokuwepo, utajiona kama mpya kuliko kawaida. Kushiriki hizi hisia zinasaidia wanandoa kuwa na muungano mzuri na kujiona ni wapya na kusukuma kumbukumbu zaenu wakati mkiwa chumbani kwa sherehe yenu.

Mtatengeneza furaha ya kila mmoja .

Ukweli ni kwamba wanawake wengi huwa wanaubishi fulani katika kubadilisha mazingira , tunakuwa na mawazo tofauti na ni wagumu kufikia the big O, kwa sababu ya mazoea ya mahali pamoja.

Lakini hicho kisikukatishe tamaa ndugu, kuna uwezekano wa kupata kitu kizuri katika tendo hilo bila ya exitement.

1.Kwenye Kochi.

Inawezekana umefunikwa , au hujui kabisa kuwa ni muhimu kuwa na kochi chumbani kwako, lakini ikiwa una usalama nyumbani kwako waweza kufanyia sebuleni, ni mahali ambapo panavutia sana na itakufanya uwe na hisia za tofauti kuliko za chumbani. Utafika safari yako vizuri maana mtindo wa hapo ni tofauti na wa kitandani, pako na mitindo mingi sana.

2.Bafuni.

Bafuni ni mahali pengine tofauti na kokote, unaweza kufanya mapenzi kwenye shower, lakini sehemu ya pool sio nzuri, au sehemu za ziwani kwa sababu ya kuepukana na UTI na magonjwa mengine kama ya STD’S , kwa sababu hayo hata ukivaa kondomu haisaidii . kwa hio kuwa makini na mahali ulipo. kama ni nyumbani ni bora zaidi.

3. Kwenye Gari.

viti vya nyuma vinakunjuliwa , ni sehemu nzuri , ila kuwa makini na mahali ulipo kama ni salama . wengine huwalipa walinzi pesa kwa ajili ya usalama wao.

4.Kwenye ngazi.

5,Garage.

6.Bustanini.

7.Kwenye mvua.

8.Sehemu yeyote nyumbani mwako kama kuna usalama.

9.Safarini, kwenye ndege, train endapo mmepata nafasi nzuri , katikati ya usiku.

10. Hotelini.

Sex ya hotelini ni amazing, kwa sababu , kama ni mama hakuna kufanya usafi , na wote mnakuwa ni wageni hakuna mtu anawafahamu, mnaweza hata kufanya kwenye balcon, huhitaji kuwa na hofu kuna wafanya usafi, unajiachia huru . kuwa na amani na furaha na itakusaidia kujiona mkamilifu.

Inashauriwa kufanya hivyo mara kwa mara hasa kwa wanandoa, kama una uwezo , unaweza kufanya hata kila mwezi mara moja.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *